Category: Kitaifa
Ulaji Bandari ya Dar es Salaam
Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, amenunua gari maalumu lililotengenezwa mahsusi kwa vionjo alivyovitaka yeye kwa gharama ya Sh milioni 500. Kiasi hicho cha fedha kama kingetumika kingelekezwa shuleni, kingeweza kutengeneza madawati 10,000 kwa gharama ya…
Jipu Chuo cha Mandela Arusha
Wakati Serikali ya Awamu ya Tano ikisisitiza ubanaji matumizi, Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ya jijini Arusha, imebainika kukodisha nyumba na kulipa mamilioni ya shilingi kila mwaka bila kuitumia. Nyumba hiyo ipo Kitalu ‘C’ eneo la…
Ujanja wa SABmiller mabosi wa TBL
Kampuni ya SABmiller haitafuni kwa bahati mbaya matunda ya kodi pekee kutoka nchi zinazoendelea. Mikakati yake ya kukwepa kodi ni zaidi ya kawaida, kwani inatumia njia ya kampuni zinazohusiana na kampuni hiyo zilizozoko sehemu mbalimbali duniani. Kadhalika, inatumia Kundi la…
Mkataba TBL balaa
Ni vigumu kupata maneno sahihi ya kutumia yakaeleweka kutokana na janga ambalo watendaji wa Serikali walioshiriki katika majadiliano ya kuibinafsisha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) waliliingiza taifa, kwani mkataba wa TBL ni balaa kubwa kwa nchi, baada ya siri…
Waziri avunja mtandao Bandari
Wiki chache baada ya Gazeti la JAMHURI, kutoa taarifa juu ya viongozi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotajwa kutumia kampuni wanayoimiliki kupata zabuni licha ya kutokuwa na sifa, Serikali imeingilia kati na kuvunja mtandao unaogawa kazi kimizengwe. Tayari Waziri…
Jaji Mkuu Chande atembelea JAMHURI
Jaji Mkuu wa Tanzania (CJ), Othman Chande (pichani) Ijumaa iliyopita alifanya ziara ya ghafla katika ofisi za Gazeti la JAMHURI zilizoko katika Jengo la Matasalamat Mansion, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wahariri…