Category: Kitaifa
Afariki na miaka 113
Bibi Carolina Tibakwegomba aliyezaliwa mwaka 1902 katika Kijiji na Kata Kitendagoro, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 113. Mkuu wa ukoo wa Abakoba, ambao ni ukoo wa bibi huyo, Mzee Khasim Abdalah Karuandila (80)…
Baraza la Magufuli sura mpya
Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, amekwepa kihunzi cha wasaka nafasi ya uwaziri waliokuwa wakihaha kuomba nafasi hizo. Habari za uhakika zilizoifikia JAMHURI zinaeleza kuwa kumekuwa na msururu wa wanasiasa nchini…
Machimboni Mirerani kwafukuta
Chama cha Wachimbaji Madini Mkoa wa Manyara (MAREMA) Tawi la Mirerani, kimepinga taarifa iliyotolewa na Kaimu Kamishna wa Madini Tanzania, kikisema itavuruga amani na utulivu katika machimbo ya tanzanite ya Mirerani mkoani humo. MAREMA wamesema: “Chama kimepokea kwa masikitiko makubwa…
Rais Magufuli ‘atua’ Bandari
Kasi ya utendaji kazi ya Rais John Magufuli, imefanikisha kuanza kufungwa kwa mita 12 za kupimia mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Rais Magufuli, baada ya kufanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), mashine za MRI…
TBS yafunga kiwanda cha KCL Moshi
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) mkoani Kilimanjaro limekifungia kiwanda cha kusindika maziwa cha Kilimanjaro Creameries Ltd (KCL) kilichopo Sanya Juu baada ya kubainika kutumia namba feki za ubora za shirika hilo kinyume cha Sheria ya Viwango ya mwaka 2009. Uchunguzi…
Walinda ‘wauaji’ Moshi washitakiwa kwa Rais
Rais Dk. John Magufuli, ameombwa aingilie kati sakata la mauji ya meneja wa baa ya Mo-Town ya mjini Moshi, James John aliyeuawa kikatili na wafanyabiashara wanne ndugu ambao hadi sasa wanatamba mitaani. John aliuawa Juni 9, 2009 katika kijiji cha…