Category: Kitaifa
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
Ridhiwani Kikwete atoa ya moyoni
Wiki iliyopita gazeti hili lilichapisha sehemu ya kwanza ya mahojiano kati ya Ridhiwani Kikwete (pichani) na JAMHURI. Leo tunakulete sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano hayo.
JAMHURI: Mitandao ya kijamii unaisoma? Unajisikiaje wewe na Mheshimiwa Kikwete mnavyoshambuliwa?
RIDHIWANI: Hivi vitu kwanza tumshukuru Mungu kwa sababu Mungu amewapa watu nafasi ya kusema. Mitandao hii inatoa nafasi ya kuwafanya watu watoe yaliyomo moyoni mwao. Taarifa iliyosomwa na Waziri Mkuu mwaka 2007 ilionesha CCM ilikuwa imefanikiwa kutekeleza asilimia 98 ya Ilani ya Uchaguzi. Kufikia mwaka 2009 ikawa imetekelezwa kwa asilimia 100.
Habari mpya
- Manyara yapitisha bajeti ya 2026/ 2027
- FCC yawataka waandishi kupaza sauti
- Watu 46 mbaroni kwa tuhuma za wizi na makosa ya kijinai Dar
- Dk Samia: Ulinzi imara, amani ni msingi wa maendeleo ya taifa
- JKCI yafungua kliniki mpya eneo la Soko Kuu la Kariakoo, yatoa huduma bure kwa siku saba
- Mbarawa :Treni ya mwendokasi kufika Mwanza 2028
- Tanzania kuwa mwenyeji wa Mpango wa Ununuzi wa Dawa na Vifaa Tiba Ukanda wa SADC
- Waziri Mkuu akagua miradi ya maendeleo Arusha
- Dk Jingu: Serikali inatambua mchango wa wazee
- Tusiwafiche familia mali zetu
- Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yapata rais mpya
- Tanzania kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Singapore
- Prof. Shemdoe apiga ‘stop’ uhamisho wa watumishi wenye changamoto za kinidhamu
- REA yaanza usambazaji majiko banifu 6,692 Singida
- MIF 2026 kujadili mikakati ya kufikia uchumi wa kati wa juu 2050