Category: Kitaifa
Mawaziri wagongana
*Dili ya uwekezaji yawafanya washitakiane kwa Waziri Mkuu
*Wajipanga kumkabili Kagasheki, naibu achekea kwenye shavu
Mawaziri wawili na wabunge kadhaa wameungana dhidi ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, kukoleza mgogoro ulioibuka Loliondo.
FCC yateketeza vipuri bandia
Tume ya Ushindani na Haki (FCC) nchini imeteketeza vipuri bandia vya magari, na kuwaonya wafanyabiashara kujiepusha kununua na kuuza bidhaa zilizoghushiwa.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
- TANESCO yazindua rasmi zoezi la ulipwaji fidia kwa wananchi Lindi na Mtwara
- CRDB yaendelea kung’ara katika uwekezaji wa kimkakati Soko la Hisa DCE
- Rais Samia anaendelea kupeleka furaha na neema kwa watumishi wa umma Tanzania – Kikwete
- Polisi yamkamata mmiliki wa eneo la Vikawe lililosababisha vifo vya watu wawili
- Chem Chem Safari ya Tanzania yaingia katika ushirikiano na Auberge, wadhamiria kulinda mazingira
Habari mpya
- TANESCO yazindua rasmi zoezi la ulipwaji fidia kwa wananchi Lindi na Mtwara
- CRDB yaendelea kung’ara katika uwekezaji wa kimkakati Soko la Hisa DCE
- Rais Samia anaendelea kupeleka furaha na neema kwa watumishi wa umma Tanzania – Kikwete
- Polisi yamkamata mmiliki wa eneo la Vikawe lililosababisha vifo vya watu wawili
- Chem Chem Safari ya Tanzania yaingia katika ushirikiano na Auberge, wadhamiria kulinda mazingira
- Legendary Expeditions, yaingia mkataba wa ushirikiano na kampuni ya Auberge Collection
- Jaji Mkuu Masaju kuzindua kitabu cha Ushairi cha Wakili Msomi Aisha Kingu Jumapili
- Dodoma yapongezwa kwa mpango wa kupeleka walimu Korea Kusini
- Waziri Mkuu: Serikali yaendelea kuhakikisha mafuta hayaadimiki nchini
- Vyuo 263 vya ufundi kusajiliwa kuongeza fursa za mafunzo ya ufundi
- IPI yawateua mabalozi 500 wa kuitangaza amani ndani na nje ya nchi
- EWURA CCC Kagera yafanikiwa kuwafikia wananchi 1134
- TANESCO yapongezwa kujipanga kufikisha umeme Bandari ya Uvuvi Kilwa
- Dk Jingu apokelewa Wizara ya Katiba na Sheria, aahidi ushirikiano
- Benki ya MCB yazindua mpango wa uuuzaji wa hisa stahiki