Category: Kitaifa
Ni vita ya rushwa, haki
Uchaguzi wabunge EALA…
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano leo wanatarajia kuchangua wabunge tisa watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
CCM hofu tupu
[caption id="attachment_24" align="alignleft" width="267"]Rais Jakaya Kikwete[/caption]Mwenyekiti Mkoa atoboa siri nzito
Wakati kukiwa na dalili za kuwapo uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha Mjini, hali ya mambo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeelezwa kuwa mbaya.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha, Onesmo ole Nangole, ameonyesha wasiwasi wake juu ya kukosekana kwa mshikamano na umoja ndani ya chama hicho kikongwe.
Wanaomiliki nyara za Serikali kukiona
Katika kukabiliana na wimbi la ujangili, Wizara ya Maliasili na Utalii imewataka watu wote wanaomiliki nyara za Serikali bila vibali, kujitokeza kueleza namna walivyozipata.
Rais Jakaya Kikwete aahidi Katiba mpya 2014
Rais Jakaya Kikwete amesema Watanzania watakuwa na Katiba mpya ifikapo mwaka 2014. Alipoulizwa kama hilo litawezekana hasa ikizingatiwa kuwa Kenya iliwachukua miaka saba kuwa na Katiba mpya, alijibu kwa mkato, “Hao ni Kenya, sisi ni Tanzania.”