Category: Kitaifa
Zaidi ya Watanzania 142 wanufaika na ajira
Zaidi ya Watanzania 142 wamenufaika na ajira kupitia Meridianbet Tanzania,ikiwa ni moja ya ndoto ya kampuni hiyo inayotoa huduma za michezo ya kubashiri mtandaoni. Akizungumza katika uzinduzi wa duka la Meridianbet lililopo Mtaa wa Tandika Majaribio, Temeke, Dar es Salaam,…
Jumaa:Twendeni kwenye majukwaa tukaeleze yanayofanywa na Serikali
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Mjumbe wa Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi Taifa (MNEC)-Wazazi ,Hamoud Jumaa amewaasa wanaCCM kujipanga kwenda majukwaani kusema makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya sita sanjali na utekelezaji wa ilani. Ameeleza ,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fursa…
Majaliwa:Wataalamu watumike kukibidhaisha kiswahili
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezielekeza Wizara na Taasisi zote zinazohusika na maendeleo ya lugha ya kiswahili wawatumie vema wataalamu wa lugha hiyo waliopo nchini wakiwemo kutoka Vyuo Vikuu, Mabaraza ya Kiswahili na Vyama vya Kiswahili katika kukitangaza na kukibidhaisha kiswahili…
Mamia wafurika kumpokea Tindu Lissu
Hatimaye Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amewasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Ubelgiji na kupokelewa na wafuasi wa chama hicho. Mwanasiasa huyo nguli wa upinzani ambaye awali alikuwa…
Serikali yatoa ufafanuzi kifo cha Mtanzania Urusi
Serikali imewataka Watanzania kuzingatia na kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi walizopo ili kulinda taswira nzuri ya nchi yao. Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dkt. Stergomena Tax (Mb) Jijini Dar es…
CHADEMA Lindi kushiriki mapokezi ya Lissu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Lindi kimepanga kushiriki mapokezi ya makamu mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho upande wa Tanzania bara,Tundu Lissu. Hayo yameelezwa leo Januari 20,2023 na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi, Zainabu Lipalapi wakati…





