Category: Kitaifa
Waziri Mkuu Majaliwa akaimu Urais
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekaimu Urais wa Tanzania tangu Septemba 17, 2022 hadi Rais Samia Suluhu Hassan atakaporejea nchini, JAMHURI DIGITAL imeambiwa. Rais Samia aliondoka nchini Septemba 17, 2022 kwenda kushiriki maziko ya Malkia…
Waziri Mkuu azindua mpango kabambe wa sekta ya uvuvi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa Mpango Kabambe wa Sekta ya Uvuvi utasaidia kukuza sekta hiyo na kuongeza mchango wake katika Pato la Taifa hadi kufikia asilimia 10 kwa mwaka kutoka asilimia 1.8 ya sasa. Majaliwa amesema kuwa mpango…
CHADEMA yaitaka Serikali kutoa sababu za NHIF ‘kufilisika’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeitaka Serikali kutoa sababu zilizosababisha Mfuko wa Taifa wa Bima (NHIF) kuwa na hali mbaya ya kifedha. Hayo yamesemwa leo Septemba 20,2022 na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar, Salim Mwalimu…
Waziri Mkuu awataka mabalozi wahamasishe uwekezaji
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa masoko wa bidhaa za ndani na uwekezaji. Amesema kuwa maboresho ya sera na mfumo wa uwekezaji…
Waliovamia msitu wa Bondo watakiwa kuondoka
Wananchi waliovamia Hifadhi ya Msitu wa Bondo wametakiwa kuondoka ndani ya hifadhi hiyo ifikapo Desemba 30,2022. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Maliasili na Utalii, alipokuwa akijibu swali la mbunge…