JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu…

Bolt,Uber kurejesha huduma Tanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Arusha Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa…