Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakikundi cha Mbalawala Women Organization, wakati alipotembelea kikundi hicho, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kutoka kulia ni Meneja wa Fedha Ester Mwamwezi na Meneja Uzalishaji wa Kikundi hicho, Rose Samweli.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia bidhaa zinazozalishwa kutokana na makaa ya mawe na wanakikundi cha Mbalawala Women Organization, wakati alipotembelea kikundi hicho, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kutoka kulia ni Meneja wa Fedha Ester Mwamwezi na Meneja Uzalishaji wa Kikundi hicho, Rose Samweli.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia machine zinazotengeneza bidhaa za makaa ya mawe, kwenye Kikundi cha Mbalawala Women Organization, kilichopo Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia mkaa ya mawe, wakati alipotembelea Kampuni ya Jitegemee Holdings, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvum
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shughuli za uchimbaji makaa ya mawe, katika Kampuni ya Jitegemee Holdings, Mdunduwalo, Luanda mkoani Ruvuma, Januari 07, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Emmanuela Kaganda. 
Please follow and like us:
Pin Share