JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kinana atamani viongozi kuitwa ndugu na sio Mheshimiwa

Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Dar Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewahamasisha viongozi wa Chama hicho kwa ngazi mbalimbali kujenga utamaduni wa kuwatembelea na kuwatambua viongozi wa Shina, Tawi na Kata pamoja na kushiriki vikao vya Chama…

Wananchi Monduli waomba uzio kulinda vyanzo vya maji

Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Monduli Wananchi wa Kata ya Selela na Engaruka wilayani Monduli mkoa Arusha,wameomba serikali kuwasaidia kuweka uzio katika vyanzo vya maji vya asili katika maeneo yao ili visiendelee kuharibiwa na wanyamapori. Kata hizo zina vyanzo vya maji vya asili ambazo…

Rais Samia amlilia DED wa Igunga

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga (DED), Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake.

Makinda: Sensa ya 2032 inategemea kujikosoa kwa sensa ya 2022

Kamisaa wa Sensa Anne Makinda ameeleza ,Maandalizi ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2032 inategemea mafanikio na ufumbuzi wa changamoto zilizojitokeza sensa ya mwaka 2022 ili kuleta matokeo chanya. Ameelezea kwamba,ameshukuru Sensa hii imefanywa kwa uzalendo na wananchi…

IGP Wambura afanya mabadiliko ya Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu…