Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende , Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt.Boniphace Nalija Luhende  kuwa Wakili Mkuu wa Serikali, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Wakili Mkuu wa Serikali Dkt.Boniphace Nalija Luhende, Naibu Wakili Mkuu wa Serikali Sarah Duncan Mwaipopo pamoja na Wakuu mbalimbali wa Taasisi wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

By Jamhuri