Category: Kitaifa
Majaliwa awapa kibarua uongozi Ikungi
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa,amekagua miradi ya maendeleo na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha Iglanson, Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi Veta na Hospitali ya Wilaya ya Ikungi vyote vikiwa wilayani humo mkoani Singida wakati wa…
IMF yashusha makadirio ya ukuaji uchumi wa dunia
Kamati imeridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha, uliopelekea kuwepo ukwasi wa kutosha katika mabenki, na hivyo kuchochea ukuaji wa mikopo kwa sekta binafsi. Hata hivyo, Kamati imeendelea kufuatilia kwa karibu ongezeko la mfumuko wa bei kutokana na kupanda kwa…
Uingereza kuisaidia sekta ya afya nchini
Serikali ya Uingereza imesisitiza itahakikisha inasaidia sekta ya afya nchini ili wananchi wapate huduma bora hasa upande wa mama na mtoto. Balozi wa Uingereza David Concar alisema hayo, wakati wa kumbukumbu ya miaka 70 ya Utawala wa Malkia wa Uingereza…
Rais Samia atoa wito kwa viongozi wa nchi za Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi Wakuu wa nchi za Afrika wachukue hatua za makusudi katika udhibiti wa uvunaji na biashara haramu ya usafirishaji wa mazao ya misitu. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito huo kupitia Hotuba iliyosomwa…
Prof. Mbarawa: Serikali inafanya uboreshaji wa bandari
Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania imeendelea kusimamia bandari za mwambao na maziwa makuu kwa kufanya uboreshaji ikiwemo kuongeza kina kikubwa ili kuweza kuruhusu Meli za Kisasa kuingia. Akizungumza na jijini Dar es salaam Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa…