Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto wakati walipokuwa wanazungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Dkt. William Samoei Ruto, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto Zawadi ya Picha ya kumbukumbu mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022

By Jamhuri