JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Bosi NMB ashinda tuzo Afrika

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amepewa tuzo ya CEO Bora wa Mwaka 2022 kwa Benki za Afrika. Mwanamke huyo raia wa Tanzania ametunukiwa tuzo hiyo wakati wa sherehe maalumu…

Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa

DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…

Uchakavu waitesa Hoteli ya Bahari Beach 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hali ya hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na Serikali ya Libya, Bahari Beach Ledger Plaza, ni mbaya kiasi cha kuibua migogoro ya mara kwa mara kati ya uongozi na wafanyakazi….

‘Ifumuliwe’

*Wadau wadai sekta ya uvuvi nchini imeoza *Wasema kuna mtandao wa mapapa unaofadhili uvuvi haramu *Wamwomba Waziri Mashimba Ndaki kuifumua sekta nzima *Mwenyewe atangaza vita, operesheni maalumu yaanza Dar es Salaam Na Alex Kazenga Wadau wa uvuvi nchini wameiomba serikali…

Utata ununuzi magari TALGWU

*Fedha za gari la Katibu Mkuu zilitosha kununua jipya    lakini likanunuliwa la mtumba *Lakutwa lina kadi mbili zikionyesha     limetengenezwa mwaka 2015  na kusajiliwa mwaka 2014 *Katibu Mkuu asema hakumbuki  mchakato wa ununuzi ulivyofanyika  *Asema wananunua magari ya  mtumba kwa sababu…

Nape: Sheria ya habari inabadilishwa mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika mwaka huu wa fedha serikali itahakikisha inakamilisha mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA) ya Mwaka 2016. Akihitimisha michango ya wabunge…