Category: Kitaifa
Kilio cha Rais Sambi kuachiwa charindima
NA MWANDISHI WETU Mwakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Comoro ameingilia kati mgogoro wa kuwekwa kizuizini kwa Rais mstaafu wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi. Mwakilishi huyo, Hawa Youssouf, amemtembelea Rais mstaafu Sambi kizuizini alikowekwa kwa amri…
Vitalu vya uwindaji yale yale
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii kwa njia ya kielektroniki umelalamikiwa na sasa baadhi ya wadau wenye tasnia hiyo wameshauri mnada urejewe. Wanasema kurejewa huko si tu kwamba kutakuwa ni kuwatendea haki waombaji…
CRDB inapiga hatua kila kukicha
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Benki ya CRDB imeendelea kupiga hatua kubwa za kupigiwa mfano katika sekta ya fedha nchini, na sasa inatoa huduma katika maeneo yaliyodhaniwa kuwa yanazifaa nchi za Ulaya pekee. Ukiacha kushusha riba, kujenga jengo kubwa,…
Marekani yamnyooshea kidole Mtanzania
*Yamtuhumu kushiriki ugaidi, kusambaza silaha Msumbiji CAPE TOWN Afrika Kusini Peter Charles Mbaga, raia wa Tanzania, anatajwa na Idara ya Fedha ya Marekani kama mmoja wa watu wenye uhusiano na kikundi cha kigaidi cha Msumbiji, ISIS-Mozambique. Mbaga anayefahamika pia kama…
Urusi Vs Ukraine
*Ni pambano la ‘Daudi na Goliati’ uwanjani *Urusi ina kila kitu, makombora mazito, ndege *Marekani, Uingereza zaitosa Ukraine kijeshi *Putin aandaa matumizi ya zana za nyuklia Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Hali inazidi kuwa tete nchini Ukraine na wananchi…
Lugumi kubadili sheria ya mnada
Na Shaban Matutu, Dar es Salaam Hatua ya kukwama kuuzwa mara tatu kwa nyumba mbili za mfanyabiashara, Said Lugumi, imeifanya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria kuboresha sheria ili zitoe mwongozo kwa mali zilizokosa mteja mnadani. Sababu ya kufikiria hilo…