Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa madaktari kutoka Jumuiya ya Korea National Turbaculosis Assosiation, inayoshuhulikia  Maradhi ya Kifua Kikuu (TB), walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo (wa tatu kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Dr.Kyung Manho .
Rais  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Korea National Turbaculosis Assosiation, inayoshuhulikia  Maradhi ya Kifua Kikuu (TB) Dr.Kyung Manho (kushoto) wakati wa mazungumza na Ujumbe huo leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu