Category: Kitaifa
Fisi mla watu akamata mtoto wa 28
KARATU Na Bryceson Mathias Mtoto mwenye umri wa miaka minne, Asteria Petro, amejeruhiwa na fisi katika Kata ya Basodawish, Karatu mkoani Manyara, akiwa ni wa 28 kukumbwa na kadhia hiyo, hivyo kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Taarifa zinasema kwamba fisi…
Fedha za TALGWU zapigwa
*Ni Sh bilioni 1.1 za zabuni ya kutengeneza sare za Mei Mosi *Mzabuni adai amehujumiwa kwani mchakato wa zabuni uligubikwa na rushwa *Talgwu yasema itafuata taratibu za kisheria kufidiwa gharama *Wanachama wang’aka sare zao kutengenezwa chini ya kiwango DAR ES…
Bibi kizee kuwaburuza vigogo mahakamani
KILINDI Na Bryceson Mathias Ajuza mkazi wa Mgambo, Kwediboma wilayani Kilindi mwenye umri wa miaka 100, Fatuma Makame, ameapa kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali na wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi akiwatuhumu kwa kuhujumu chanzo chake cha kipato. Bibi huyo…
Mtazamo kuhusu ‘Royal Tour’ (1)
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Juni 27, 2004 nilifanikiwa kukutana na Peter Greenberg, mtayarishaji wa kipindi cha televisheni cha ‘The Royal Tour’ na kuzungumza naye mambo mengi kuhusu kipindi hicho na uzoefu wake kama mwanahabari, ‘producer’ wa utalii duniani…
Hapi, Waitara wanyukana
*Hapi: Hii ni vita, mimi mtoto wa mjini wameshindwa kunizunguka *Asema kelele ni nyingi kwa kuwa ameziba mirija ya wizi *Waitara: Siogopi kifo kiwe cha risasi au sumu, Wakurya si ‘maboya’ *Asema RC hana mamlaka ya kuvunja CDC, adai amefanya…
TEMESA katikati ya dimbwi la lawama
*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…