Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na wananchi wa Chunya Mjini Mkoani Mbeya alipokua njiani akielekea Makongorosi kwa ajili ya kukagua mradi wa Barabara ya kiwango cha lami km 39 Chunya Makongorosi tarehe 6 Agosti, 2022.

By Jamhuri