JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

BARUA KWA RAIS  Mahabusu: Kisutu Extended inatutesa

Ndugu Mhariri, tunaomba nafasi japo ndogo katika gazeti lako tukufu ili Rais Samia Suluhu Hassan na watendaji wake wafahamu yanayotusibu. Malalamiko yetu ni ya kukaa gerezani kwa muda mrefu katika kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu upande wa Kisutu Extended…

Wadau wataka maboresho Sheria ya Habari

Na Alex Kazenga Dar es Salaam Wadau wa tasnia ya habari wanaiomba serikali kuitazama upya Sheria ya Habari huku wakipendekeza kuwapo kwa chombo kitakachosimamia tasnia hiyo. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amebainisha hayo hivi karibuni katika…

Gari la Katibu Mkuu TALGWU kimeo

*Limenunuliwa kwa Sh milioni 180 *Lilipokatiwa bima nyaraka inaonyesha      limenunuliwa kwa Sh milioni 70   DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Gari analolitumia Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) Taifa, Rashid Mtima, kwa ajili ya shughuli…

Bosi NMB ashinda tuzo Afrika

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, amepewa tuzo ya CEO Bora wa Mwaka 2022 kwa Benki za Afrika. Mwanamke huyo raia wa Tanzania ametunukiwa tuzo hiyo wakati wa sherehe maalumu…

Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa

DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…

Uchakavu waitesa Hoteli ya Bahari Beach 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hali ya hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na Serikali ya Libya, Bahari Beach Ledger Plaza, ni mbaya kiasi cha kuibua migogoro ya mara kwa mara kati ya uongozi na wafanyakazi….