Category: Kitaifa
Bibi kizee kuwaburuza vigogo mahakamani
KILINDI Na Bryceson Mathias Ajuza mkazi wa Mgambo, Kwediboma wilayani Kilindi mwenye umri wa miaka 100, Fatuma Makame, ameapa kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali na wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi akiwatuhumu kwa kuhujumu chanzo chake cha kipato. Bibi huyo…
Mtazamo kuhusu ‘Royal Tour’ (1)
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Juni 27, 2004 nilifanikiwa kukutana na Peter Greenberg, mtayarishaji wa kipindi cha televisheni cha ‘The Royal Tour’ na kuzungumza naye mambo mengi kuhusu kipindi hicho na uzoefu wake kama mwanahabari, ‘producer’ wa utalii duniani…
Hapi, Waitara wanyukana
*Hapi: Hii ni vita, mimi mtoto wa mjini wameshindwa kunizunguka *Asema kelele ni nyingi kwa kuwa ameziba mirija ya wizi *Waitara: Siogopi kifo kiwe cha risasi au sumu, Wakurya si ‘maboya’ *Asema RC hana mamlaka ya kuvunja CDC, adai amefanya…
TEMESA katikati ya dimbwi la lawama
*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…
Wastaafu TRL wamlilia Rais Samia
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuwasaidia ili uongozi uwape haki zao. Akizungumza kwa niaba ya wenzake zaidi ya 1,000, mmoja wa wastaafu hao,…
MSD ilivyoliwa
*Yaingia mikataba ya mabilioni ya fedha bila kufuata taratibu, Mkurugenzi atumbuliwa * Yalipa watumishi watatu posho ya kujikimu ya Sh milioni 215.99 kwenda China kununua mashine *Yailipa kampuni hewa ya Misri mabilioni ya fedha, wapotea bila kuleta dawa nchini *Yadaiwa kununua…





