JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Mawaziri wakikwepa kiwanda cha saruji

Wakazi wa kata za Boko na Bunju jijini Dar es Salaam ambao wamekilalamikia kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa kuharibu mazingira wamewalalamikia Mawaziri wa Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushindwa kuchukua hatua kwa kiwanda hicho. Pamoja na…

Kashfa ya nyumba NIC

Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeingia katika kashfa ya kuhujumu mali za shirika hilo, ikiwamo ya kuuza nyumba bila kuzingatia maagizo yaliyotolewa na Serikali Oktoba, 2009. Nyumba zilizopangishwa kwa wafanyakazi wa Shirika hilo zilizoko eneo la Kijitonyama jijini Dar…

Barua ya elimu kwa Rais Magufuli – 2

Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii ndugu Kalisti Mjuni, alizungumzia umuhimu na mbinu bora za kuandaa walimu. Katika sehemu ya pili, leo Mjuni anazungumzia mahitaji ya msingi kwa utoaji wa elimu bora. Endelea… Mazingira bora. Ili kazi yoyote iweze kufanyika…

Mabilioni yatafunwa NIP

Mradi wa uendelezaji viwanja viwili vilivyoko Mtaa wa Ohio (Plot 775/39 na 776/39) vya Shirika la Tija la Taifa (NIP), unaonekana kuwa ni ‘hewa’ kutokana na kutokamilishwa kwa mujibu wa makubaliano ya wabia wawili waliojitokeza kuendeleza viwanja hivyo kwa nyakati…

Takukuru wachunguza Saccos Moshi

Ufisadi wa zaidi ya Sh bilioni 6 katika Chama Cha Akiba na Mikopo (Wazalendo Saccos) mkoani Kilimanjaro, umeendelea kuibua mapya kwa utoaji wa mikopo kwa watu ambao si wanachama wakiwamo marehemu. Wizi wa fedha zilizokopwa kutoka taasisi mbalimbali za fedha…

Waliotafuna Sh bilioni 6 watamba mitaani Moshi

Mrajis wa Vyama vya Ushirika nchini, Dk. Audax Rutabanzibwa, kwa miaka mitano sasa, ama ameshindwa, au amepuuza kuandaa mashitaka dhidi ya viongozi wa Chama cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Wazalendo cha mjini Moshi wanaotuhumiwa kuiba Sh bilioni 6. Miongoni…