JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

MZEE AKILIMALI ALITOLEA UVIVU BENCHI LA YANGA SC, CHIRWA KUKOSA PENATI MFULULIZO

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Ak­ilimali, amelitaka benchi la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Mzam­bia, George Lwandamina, kuhakikisha wanatafuta mbadala wa mchezaji atakayekuwa anapiga pen­alti badala ya Mzambia, Obrey Chirwa. Mzee Akilimali ameyasema hayo kufuatia…

MAN UNITED YAPIGWA, LIVERPOOL YATAKATA EPL

Klabu ya soka ya Manchester United jana imekubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa klabu ya Newcastle United. Bao pekee katika mchezo huo wa ligi kuu ya soka nchini England uliomalizika jana jioni kwenye uwanja wa Saint James Park limefungwa…

SIMBA SC YAREJEA KIMATAIFA KWA KISHINDO, YAIBEBESHA FURUSHI LA MAGOLI GENDERMARIE YA DJIBOUTI

SIMBA SC imeanza vyema michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Gendarmarie Tnare kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Magoli ya Simba yalifungwa na kiungo Said Hamisi Ndemla, Nahodha na mshambuliaji…

ZAMU YA SIMBA SC LEO KUONESHA MAKUCHA YAKE KWENYE MICHEZO YA KIMATAIFA

SIMBA SC inarejea kwenye michuano ya Afrika leo baada ya miaka minne, itakapomenyana na Gendarmerie Tnale ya Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika Uwanbja wa Taifa jijini Dar es Salaam jioni ya leo….

TOTTENHUM SPURS YAITANDIKA ARSENAL KWA BAO 1 -0

Mchezo huo ulikuwa wa vuta ni kuvute, kipindi cha kwanza kinamalizika timu hizo zilishindwa kufungana, katika dakika ya 49 mshambuliaji wa spurs Harry Kane aliwainua mashibiki wake vitini baada ya kuunganisha kwa kichwa krosi iliyopigwa na Ben Davies na kuiandika…

FULL TIME YANGA SC VS ST LOUS (1-0)

Dakika ya 8: Mabao  0 -0 Dakika ya 12: Yanga wanapata kona Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0 Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka  nje ya lango Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati,…