JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

LEO NI LONDON DERBY, TOTENHUM VS ARSENAL

Mahasimu wa kubwa kutoka jiji la London, Totenhum Spurs na Arsenal leo wanakuta kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza, Totenhum watakuwa nyumbani ikiwakaribisha Arsenal majira ya saa 9: 30 mchana. Mchezo huo unaonekana kuwa mgumu kwa timu zote mbili licha…

YANGA KUANZA MBIO ZA KLABU BINGWA AFRIKA LEO TAIFA

Yanga SC leo wanatupa kete yao ya kwanza katika michuano ya Ligi Mabingwa Afrika watakapomenyana na Saint Louis Suns United ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo…

Hawa Hapa wajumbe wa Baraza la Michezo la Taifa Walioteuliwa na Mwakyembe

Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ikisomwa na muundo wa shughuli za Baraza (Provisions of…

Wenger: Wachezaji wa Uingereza ni ‘mabingwa’ wa kujiangusha uwanjani

Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amelalamika kwamba wachezaji wa Uingereza wamekuwa na tabia ya kujirusha na kutengeneza adhabu. Amesema mchezaji wa Tottenham Dele Alli alifanya kitendo hicho kwenye mchezo wa jumapili huko Liverpool na kusababisha mwamuzi kutoa adhabu…

Alexis Sanchez Atupwa Jela Miezi 16 Kwa Kukwepa Kodi

Mchezaji mpya wa klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16 kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi. Hukumu hiyo imetolewa jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi…

Full Time Simba vs Azam (1-0)

Dakika ya 3: Simba wanapata kona ya pili Dakika ya 4: azam wanakosa goli mpira wa kichwa unatoka juu ya lango la Simba Dakika ya 6: Ofside upande wa simba mchezaji wa Azam emezidi Dakika ya 8: mabao bado 0-0,…