JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

SHAFIK BATAMBUZE WA SINGIDA UNITED, MCHEZAJI BORA WA MAPINDUZI CUP

Mchezaji Shafik Batambuze wa Singida United amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Mapinduzi Cup. Katika kikosi bora cha michuano hiyo, Singida United imeingiza wachezaji 5 sawa na URA FC ambao wameshika nafasi ya pili baada ya kufungwa na Azam…

AZAM BINGWA, KOMBE LA MAPINDUZI YAIFUNGA URA KWA PENATI 4-3

Azam FC imeibuka mshindi wa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga URA FC ya Uganda kwa penati 4-3. Azam wameshinda kombe hili kwa mara ya pili mfululizo. Shuja wa mchezo huo ni mlinda mlango wa Azam, Razak Abolora ambaye amedaka…

AZAM FC: HATUTAKUBALI KUFUNGWA MARA MBILI NA TIMU MOJA

Licha ya kutinga fainali lakini kocha wa Azam Aristica Ciaoba amesema hiyo ni nafasi pekee ya kulipa kisasi cha kufungwa na URA mechi za makundi Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba, amesema anauhakika timu yake itatetea ubingwa wake wa…

WALLACE KARIA ATEULIWA NA CAF KUWA KAMISHNA WA MECHI

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Wallace Karia ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Africa CAF kuwa kamishna wa mechi Wallace Karia anatarajiwa kuwa kamishna wa mechi ya kwanza ya ufunguzi wa Fainali za Africa kwa…

LWANDAMILA AMTETEA CHIRWA KWA MASHABIKI

Lwandamina amewataka mashabiki wa timu hiyo mambo ya kombe la Mapinduzi na kuangalia michuano inayowakabili mbele yao Kocha mkuu wa Yanga George Lwandamina, amemtetea mshambuliaji wa timu hiyo Obrey Chirwa, kuwa mkwaju wa penalti aliokosa ilikuwa na bahati mbaya na…

JE AZAM ATAWEZA KULIPA KISASI KWA URA, KOMBE LA MAPINDUZI?

Pambano la fainali la kombe la Mapinduzi limezidi kuvuta hisia za mashabiki wa soka visiwani Zanzibar baada ya makocha wa timu zote mbili kutambiana TIMU za Azam na URA keshozitashuka Uwanja wa Amaan Zanzibar kusaka taji la 12, la michuano…