Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu.

Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi wao wa kwanza ugenini katika mechi saba za ligi, Chelsea nao wakaondoka uwanjani na kichapo kilichofikia kipigo kikubwa zaidi walichopokezwa msimu huu.

 

Bournemouth, ambao wanacheza ligi kuu msimu wa tatu pia walilaza Chelsea na Manchester United msimu wa 2015-16, Liverpool na Leicester msimu wa 2016-17 na Arsenal mapema mwezi huu.

Chelsea: Courtois 6; Azpilicueta 6, Christensen 6.5 (Rudiger 28 min, 6), Cahill 5.5; Zappacosta 6 (Hudson-Odoi 65, 6), Kante 6.5, Bakayoko 5.5, Alonso 6.5; Pedro 6, Hazard 6.5, Barkley 5.5 (Fabregas 54, 5).

 

Subs not used: Cabellero, Ampadu, Drinkwater, Moses.

Bookings: Fabregas

Manager: Antonio Conte 6

Bournemouth: Begovic 6; Francis 7.5, S.Cook 7, Ake 7; Fraser 6, Gosling 6.5, L.Cook 7, Daniels 6; Ibe 7, Wilson 7 (Mousset 90+2), Stanislas 8 (King 71).

Subs not used: Boruc, Surman, Pugh, Arter, Simpson

Goals: Wilson 51, Stanislas, 64, Ake 67

Manager: Eddie Howe 7

Referee: Lee Probert 6

Magoli yalivyofungwa

https://youtu.be/dr6YzMDXduk