Category: Michezo
ARSENAL, CHELSEA ZASHINDWA KUTAMBIANA
Mchezo mmoja wa ligi kuu Uingereza uliopigwa jana usiku uliwakutanisha timu mbili zinazotoka mji mmoja London, Arsenal na Chelsea zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare ya mabao 2-2. katika mchezo Chelsea ilipaswa kupata pointi zote tatu katika mechi hiyo kwani…
YANGA YAICHARAZA MLANDEGE 2-1
Yanga imeanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mlandege katika mchezo wa kundi B, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Ushindi wa Yanga umepunguza kasi ya Mlandege ambayo ndiyo vinara wa kundi…
RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) unaotarajiwa kufanyika Februari 22 mwaka huu katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere ulioko eneo la Posta jijini Dar es Salaam. Akizungumza…
PIGO KWA WAKENYA, SPORTPESA YASITISHA UDHAMINI
Kampuni ya mchezo wa kamari nchini Kenya, SportPesa, imesitisha udhamini wake wa michezo kutokana na uamuzi wa serikali kuongeza ushuru hadi asilimia 35 kutoka kwa asilimia 7.5. Akizungumza na waandishi wa habari Jumanne, mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa SportPesa Ronald…
KOMBE LA MAPINDUZI, AZAM YAITANDIKA MWENGE FC 2-0
Mabingwa watetezi wa Kombe la Mapinduzi Azam FC imeanza vyema harakati za kutetea ubingwa wa michuano hiyo baada ya jana usiku kushinda mabao 2-0, timu ya Mwenge FC katika mchezo wa kundi A, uliopigwa uwanja wa Amaan Zanzibar. Kocha wa…
FULL TIME: WEST BROMWICH ALBION VS ARSENAL MATOKEO 1-1
Dakika ya 4: Mchezo umeanza kwa kasi kiasi. Dakika ya 7: west bromwich wanakosa goli, Jay Rodriguez anaunganisha kwa kichwa lakini kipa wa arsenal anadaka Dakika ya 9: Mpira wa kurusha kuelekea upande wa west bromwich. Dakika ya 12: West…