Home Michezo KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MWADUI LEO HIKI HAPA

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOIVAA MWADUI LEO HIKI HAPA

by Jamhuri

Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Kuelekea katika mchezo huo Yanga SC imeanika wachezaji wake huku akiwemo mshambuliaji Amis Tambwe ambaye amekosekana katika kikosi cha timu hiyo kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na malaria.

 1. YUTHE ROSTAND
 2. HASSAN KESSY RAMADHAN
 3. HAJJI MWINYI MNGWALI
 4. ANDREW VICENT CHIKUPE
 5. KELVIN PATRICK YONDAN
 6. SAID JUMA MAKAPU
 7. JUMA MAHADHI
 8. PIUS BUSWITA
 9. AMISS TAMBWE
 10. IBRAHIM AJIB MIGOMBA
 11. EMMANUEL MARTIN

SUB

 1. RAMADHAN KABWILI
 2. JUMA ABDUL MNYAMAN
 3. GADIEL MICHAEL MBAGA
 4. YOHANA MKOMOLA
 5. RAFAEL DAUD
 6. PATO NGONYANI
 7. S MUSSA

KOCHA MKUU: GEORGE LWANDAMINA

KOCHA MSAIDIZI: SHEDRACK NSAJIGWA MWANDEMELE

You may also like