Category: Michezo
Simba Inahitaji Zaidi ya Fedha
Mchezo wa soka unahitaji benchi la ufundi lenye watalamu wenye ueledi mkubwa wenye uwezo wa kuendana na mabadiliko ya soka kadri mda unavyobadilika. Wakizungumza na JAMHURI juu ya mabadiliko yaliyofikiwa na klabu ya Simba wachezaji wa zamani na watalamu wa…
Pochettino Matatani
Bundi ameanza kulia ndani ya klabu ya Tottenham ya London baada ya kujikuta ikisukumwa nje ya timu nne za juu (top 4) hadi kuangukia nafasi ya sita. Baada ya kupata ushindi dhidi ya klabu ya Real Madrid na ushindi wa…
Mohamed Sarah Mchezaji Bora wa Afrika Tuzo za BBC 2017
Mohamed Salah wa Misri amechaguliwa kuwa mshindi wa Tuzo ya BBC kwa Mwanakandanda Bora wa Afrika Mwaka 2017. Nyota huyu wa Liverpool alipata kura nyingi zaidi ya Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon, Naby Keïta wa Guinea, Sadio Mané wa Senegal na…
Borussia Dortmund Yamtimua Peter Bosz na Kumchukua Peter Stöger
Borussia Dortmund leo tarehe 10 Novemba 2017, imetangaza kumfukuza kazi kocha wake,Peter Bosz na kumuajili Peter Stöger. Peter Bosz amepoteza michezo 12 tangu ajiunge na klabu hiyo na kitu pekee cha kushangaza ni kwamba Dortmund wamemuajili kocha ambaye ametimuliwa na…
Jiji la Manchester Leo Mtoto Hatumwi Dukani
Ligi kuu nchini Uingereza leo inaendelea tena ikizikutanisha wapinzani wakubwa kutoka jiji la Manchester, Manchester United na Manchester City ambazo zote zikiwa kwenye mbio za kupigania ubingwa. Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema mchezo mkubwa baina yao na Manchester…
Ronaldo Atwaa Tuzo ya Ballon D’or Tena
Mshambuliaji wa Real Madrid, Mreno Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Ballon d’Or kwa mwaka wa pili mfululizo usiku wa kuamkia leo. Ronaldo amemshinda mpinzani wake wa karibu Lionel Messi, katika tuzo hiyo na kuweza kuitwaa kwa mara ya tano na…