Category: Michezo
Madudu ya TFF na neema Yanga, Azam
Zimesalia siku chache kumalizika kwa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, ambayo ni mara ya kwanza kushirikisha timu 16. Miaka ya nyuma Ligi hiyo ilikuwa inashirikisha klabu 12 hadi 14 ambapo timu mbili za juu zilikuwa zinaenda kushiriki michuano ya…
Pluijm: Misri ni vita
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema anakwenda Misri na timu yake vitani kuisambaratisha Al Ahly ambayo itakuwa mwenyeji wao katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1…
Rekodi inaitafuna Yanga
Hakuna ubishi kwamba baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa mkondo wa kwanza, hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga imejitengenezea ugumu mchezo wa marudiano. Yanga inatarajiwa…
Miaka kumi tangu TX Moshi William atuache (2)
Wasifu wa TX Moshi William unaeleza kuwa majina yake halisi alikuwa akiitwa Shaaban Ally Mhoja Kishiwa. TX Moshi aliyezaliwa mwaka 1954, ameacha mke na watoto wanne – Hassan, Maika, Ramadhan na Mahada. Historia yake katika muziki inaonesha kwamba alianza tangu…
Msuva, Ibra Ajib wanasubiri nini?
Kuna maswali mengi unayoweza ukajiuliza kwa wachezaji wa Tanzania pale wanapoona mafanikio ya Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu. Miongoni mwa maswali hayo ni kwamba wanawaza nini? Wanajifunza nini? Samatta kwa sasa anacheza soka la mafanikio katika Klabu ya KRC Genk…
Yanga kuvunja mwiko J’mosi?
Katika historia ya soka, timu za Tanzania Yanga ikiwamo, hazina ubavu wa kuzitoa timu za Misri kwenye mashindano. Lau Simba kidogo ambayo mwaka 2003, ilivunja rekodi kwa kuichapa Zamalek kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya wababe hao…