JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Usiyoyajua kuhusu CR7

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, Cristiano Ronaldo, amejinasibu kuwa yeye ni mchezaji bora ulimwenguni. Ronaldo au CR7 aliyepata kuichezea Manchester United ya England kwa miaka zaidi ya mitano, ana mengi ya kujivunia akiwa…

Maskini Jose Mourinho!

Kama yalivyomkuta Tim Sherwood wa Aston Villa kwa kutimuliwa, hatari zaidi inamnyemelea Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho, ambaye tangu kuanza kwa msimu huu amekumbwa na balaa la matokeo mabaya katika michezo ya Ligi Kuu England (EPL). Aston Villa wao hawajachelewa…

Dk. Dau: Tanzania itacheza Kombe la Dunia mwaka 2026

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linajenga Kituo cha Michezo katika eneo la Kigamboni, Dar es Salaam; huku likisema lengo kuu ni kuhakikisha Tanzania inashiriki Fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026. Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani…

Hayatou kaokota dodo chini ya mwarobaini?

Katika vijiwe na hata maofisini, hakuna aliyewaza hata siku moja kuwa Dk. John Magufuli angeteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais wa Tanzania mwaka huu. Kulikuwa na majina makubwa ambako wadau walijaribu kuyapima na kuona kwamba hana nafasi. Sina…

Ukistaajabu ya Morinho, utayaona ya Juma Nyoso

Soka ni mchezo unaochezwa hadharani na kupindisha jambo lolote ni kutafuta kujidhalilisha kwa makusudi, hasa katika ulimwengu wa sasa ambao teknolojia imeshika hatamu. Soka linachezwa uwanjani na wachezaji 22, lakini wanaotazama ni maelfu ya watu, na mamia ya kamera yanachukua…

Martial anapoonyesha ushujaa

Kama mzaha Septemba 12, mwaka huu Luis van Gaal, alifanya mabadiliko katika mchezo wa Ligi Kuu England, ambako katika dakika ya 65 alimtoa Juan Mata na nafasi yake kuchukuliwa na Anthony Martial. Kijana huyo, usajili mpya’ aliyezaliwa Desemba 12, 1995…