Category: Michezo
Aveva apewa somo zito Simba
Kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, Simba inashika nafasi ya tatu mbele ya kinara Yanga na Azam, lakini taarifa za ndani ya klabu hiyo, zinasema kwamba haikustahili kuwa hapo hadi sasa. Mmoja wa viongozi wa timu hiyo anasema kwamba itakuwa…
Mtego mkali ulitumika kuinasa Sosolis
Bendi ya Trio Madjes 'Sosoliso' ilikuwa imesheheni vijana na kuweza kulitikisa jiji la Kinshasa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika muziki. Chanzo cha kuanzishwa kwa bendi hiyo kunaelezwa kuwa kulitokana na kuporomoka kwa Bendi ya Orchestra Veve baada…
Takururu yamulika rushwa Ligi Kuu
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (Takukuru) imepanga kuzikomalia timu za Yanga, Azam na Simba zenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) hili kudhibiti upangaji matokeo katika mechi za mwisho wa msimu huu….
Pluijm anogewa michuano ya kimataifa
Kocha wa timu ya Yanga ya Dar es Salaam, Mholanzi Hans van der Pluijm, amewaambia wachezaji kwamba kama wanataka kuendelea kupanda ndege na kucheza mechi za kimataifa, basi hawana budi kutwaa ubingwa wa Bara. Kocha huyo anasema anaamini wachezaji wa…
Walcot adai anaiva na Wenger
Mshambuliaji wa Arsenal 'the Gunners', Theo Walcot, anasema kuwa hajakosana na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Arsene Wenger, na kuongeza kwamba hajaanza mazungumzo ya mkataba mpya na klabu hiyo. Mkataba wa Walcot unakamilika mwaka 2016 na Wenger amesema…
Kopu amshtua Casillas, Ngassa abaniwa Yanga
Kocha Mkuu wa Simba ya Dar es Salaam, Goran Kopunovic, amekaa na kipa wa timu hiyo, Hussein Sharrif 'Casillas', na kumwambia hana budi kukaza msuli ili aanze kukaa golini kulinda lango kama zamani. “Ndiyo, nimekaa naye na kumweleza…