Category: Michezo
Yanga kucheza na Red Arrows Siku ya Wananchi
Kuelekea kilele cha siku ya Mwananchi Agosti 04, 2024, klabu ya Yanga imetangaza kucheza na klabu ya Red Arrows kutoka nchini Zambia Akizungumza na wanahabari mapema leo katika ofisi za Yanga, Afisa muhamasishaji Haji Manara amesema Red Arrows ambao ni…
Msafara wa wachezaji wawasili Paris kushiriki Olympic
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kundi la kwanza la Timu ya Tanzania itayoshiriki Michezo ya Olimpiki nchini Ufaransa limewasili salama jijini Paris asubuhi ya jana. Kundi hilo la kwanza lina waogeleaji wawili, Sophia Anisa Latiff na Collins Phillip…
Aisha Masaka atua Ligi Kuu wanawake England
Mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa Tanzania Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton & Hove Albion ya Ligi Kuu England. Brigton @ Hove Albion imemtambulisha Aisha kupitia mitandao yake na kijamii. “Tunafurahia kutangaza usajili wa mshambuliaji Aisha…
Mahakama yaamuru Hersi na wenzake wang’oke Yanga
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, imeamuru Uongozi wa klabu ya Yanga ukiongozwa na Rais wake, Injinia Hersi Saidi na wenzake, kuachia ngazi na kuondoka kwenye klabu hiyo kwakuwa Katiba…
Matembezi ya utulivu rasmi kufanyika Julai 20
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi isiyo ya kiserikali ya ”Utulivu” kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na michezo inatarajia kuendesha matembezi maalum ya Utulivu mwishoni mwa wiki hii. Akizungumza katika mkutano na wanahabari mapema leo hii…





