JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Twaha Kiduku amchakaza Muhindi kwa TKO

Na Isri Mohamed Bondia Mtanzania Twaha Kiduku Amefanikiwa Kumchakaza Mpinzani wake kutoka India, Harpreet Singh kwa ‘TKO’ raundi ya tano. Ushindi huo wa Kiduku umepatikana baada ya Singh kumuomba refa amalize pambano bila kuelezea nini hasa kimemkuta. Baada ya kumaliza…

Kadio, Nyenza wang’ara mashindano ya gofu kumuenzi Lina

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro WACHEZAJI wa kulipwa wa gofu kutoka Dar es Salaam, Bryson Nyenza na Hassan Kadio wameibuka vinara wa raundi 18 za kwanza za mashindano ya gofu ya kumuenzi mchezaji wa zamani timu ya wanawake Lina, baada…

Simba dhidi ya Yanga ‘Kariakoo Derby’ kuchezwa Aprili 2024

NI rasmi Aprili 20, 2024 Yanga SC watakuwa wenyeji wa watani zao Simba SC katika muendelezo wa kinyang’anyira cha Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023-24. Taarifa iliyotolewa leo na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Bodi ya Ligi Kuu…

Simba, Yanga zatupwa nje Ligi ya Mabigwa Afrika

Mabingwa wa Tanzania, Yanga SC wametupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90 usiku huu Uwanja wa Loftus Versfeld Jijini Pretoria, Afrika Kusini. Katika mchezo…

Serikali ina matumaini makubwa na Simba, Yanga kufuzu CAF

Serikali imesema ina matumaini makubwa na timu za Yanga na Simba katika michezo yao ya marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika itakayofanyika Ijumaa wiki hii. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma na…