JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Klabu ya Simba yakamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji  Luis Jose Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu. Winga huyo raia wa Msumbiji, aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kuuzwa Al Ahly ambayo nayo ilimtoa kwa mkopo kabla ya kutangazwa tena kurejea…

Yanga Princess yaitandika Geita Gold

Yanga Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Baada ya mchezo kukamilika, burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali inaendelea huku mashabiki wakiendelea kumiminika uwanjani uwanjani hapo….

Bonanza la michezo la miaka 60 ya JKT lafana Dodoma

Timu za Veterani JKT Tanzania (Bluu) na Veterani Twalipo (jezi nyeupe) wakishindana katika mchezo wa soka wakati wa Bonanza la Michezo la kuadhimisha miaka 60 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwenye viwanja vya Kilimani Club jijini Dodoma.  Michezo mingine ya…

Serikali yazindua rasmi ‘Chato Samia Cup 2023’

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato SERIKALI imezindua rasmi mashindano ya mpira wa miguu “Chato Samia Cup 2023” kwa lengo kutambua jitihada kubwa za rais Samia Suluhu Hassan,katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye wilaya ya Chato mkoani Geita. Aidha Chama…

NMB ya kwanza kusajili usajli wanachamaa Yanga

Kwa kutambua umuhimu wa sekta ya michezo nchini, leo @nmbtanzania imeingia makubaliano na timu ya @yangasc na kuwa Benki ya kwanza nchini kuwawezesha mashabiki na wanachama wa Yanga kupata kadi za uanachama kupitia matawi yote ya NMB yaliyoenea nchi nzima….