Category: Michezo
Simba yashindwa kutwaa ubingwa
Mashabiki wa Simba na Watanzania kwa ujumla wameshuhudia timu Simba ikishindwa kutwaa ubingwa katika mchezo wa marudiano fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya timu hiyo na RS Berkane ya Morocco. Simba imelazimishwa sare ya bao 1-1 katika mchezo…
Rais Mwinyi awaahidi klabu ya Simba dola laki 1 za kimarekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuizawadia Klabu ya Simba kiasi cha Dola Laki Moja za Kimarekani endapo itafanikiwa kutwaa ubingwa wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Dkt. Mwinyi ametoa…
Pwani wajipanga kushinda mashindano ya UMITASHUMTA 2025
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umejipanga kushinda katika mashindano ya kitaifa ya UMISSETA na UMITASHUMTA, yanayotarajiwa kufanyika mkoani Iringa kuanzia Juni 8 hadi Julai 4, 2025. Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa vyakula kwa ajili ya wanamichezo…
Waziri Mkuu aridhishwa na maboresho yanayoendelea kwa Mkapa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Mei 17, 2025 amekagua ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kukagua maboresho ya viwanja kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya AFCON na CHAN…
Dk Biteko afurahishwa mwitikio Tulia Marathoni Mbeya
Na Manka Damian ,JamhuriMedia , Mbeya NAIBU Waziri Mkuu ,Dkt.Dotto Biteko amesema kuwa amefurahishwa kuona mwitikio mkubwa kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya katika mashindano ya Riadha Mbeya BETIKA Tulia Marathoni ikiwa ni msimu wa tisa . Dkt.Biteko amesema hayo…
Dk Biteko ashiriki Tulia Marathon Mbeya
๐ Ampongeza Dkt. Tulia kwa ubunifu na kusaidia wahitaji ๐ Wananchi 9,000 wapata bima za afya kupitia Tulia Marathon ๐ Awashukuru wadau na wasanii kwa kushiriki Tulia Marathon Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri…