JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba wanapompuuza mbaniani mbaya wakati hawana malaika

Simba haina tatizo ila imezungukwa na watu wenye matatizo wasiotaka mabadiliko. Ukiona taasisi inakubali kupoteza wasomi wake kirahisi ujue kuna watu hawataki klabu ipige hatua. Simba inarudi nyuma badala ya kwenda mbele.  Baniani mbaya kiatu chake dawa. Yawezekana Mo Dewji…

Morocco shujaa wa Afrika

Timu ya Taifa ya Morocco imeandika historia katika Bara la Afrika kwa kuiondosha Portugal ya Cristiano Ronaldo bao 1-0 na kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar. Shujaa wa Morocco ni Youssef En-Nesyri dakika ya…

Kocha wa Namungo na Taifa Stars atua kwa ‘Wakata Umeme’ wa Zambia

Kocha mzambia, Honour Janza (62), amesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuwatumikia Zesco United ‘wakata umeme’ ya Zambia kama Mkurugenzi wa ufundi wa klabu hiyo inayomilikiwa na Shirika la Imeme la Zambia.  Janza alikuwa kocha wa Namungo FC ya Lindi…

Toka Qatar mpaka Lindi

Jana ilikuwa ni siku ya kusisimua kwa Bara la Afrika na hususani kwa wananchi wa Morocco baada ya timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia kwa kuifurusha Hispania kwa njia ya penati.  Morocco iliandikisha rekodi nyingi…

Geita Gold yazigonganisha klabu za ligi kuu kwa straika huyu

Ndoa ya Geita Gold na straika kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopita msimu uliopita, George Mpole, imefikia tamati hii leo baada ya pande hizo mbili kukubaliana kuvunja mkataba kwa maslahi ya kila upande. Taarifa ya…