Busara ya Nyerere ifanye kazi Simba

Fedha si msingi wa maendeleo! Haya ni maneno yaliyowahi kutamkwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Yalisemwa miaka mingi kabla dunia haijautambua utandawazi. Tunayaona ndani ya Simba inayotaka kumtimua Patrick Aussems.  Mwalimu Nyerere alimaanisha kwamba fedha ni matokeo ya mchanganyiko wa mambo mbalimbali ambayo yakifanywa kwa kutumia busara na uvumilivu ni lazima yazae…

Read More

Tunahitaji nini kutoka kwa Samatta?

Mbwana Samatta ndiye staa wa Tanzania kwenye soka. Ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Hili halina ubishi. Kama unataka kupinga hili, unaruhusiwa. Hakuna ubishi kwamba kwenye kikosi cha Taifa Stars, Samatta ndiye mchezaji aliyepiga hatua zaidi. Ndiye mchezaji aliyefanikiwa zaidi. Ndiye mchezaji mwenye kipaji zaidi. Kuna mtu anayebisha? Basi atakuwa na chuki binafsi.  …

Read More

Wachezaji Stars mjiongeze

Leo Taifa Stars itakuwa Stade Mustapha Ben Jannet uliopo mjini Monastir, Tunisia, kuivaa Libya katika mchezo wa kufuzu kuwania kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika. Huu ni mchezo wa pili, katika mchezo wa awali dhidi ya Equatorial Guinea uliopigwa mwishoni mwa wiki, Stars iliondoka na ushindi wa mabao 2-1. Haukuwa ushindi mwepesi, kwani…

Read More

Ya TFF hadi kwa Zahera

Kim Poulsen aliondolewa kazini bila kuwapo sababu zenye kuingia akilini. Alikuwa na  mipango ya kuleta mabadiliko ya uchezaji wa Taifa Stars ndani ya kipindi cha miaka mitano. Waliomuondoa hawakulifahamu suala hilo, ingawa ni jambo muhimu lenye kutakiwa kupewa kipaumbele. Ufundishaji wa Poulsen uliwafaa wachezaji wetu, aina ya mfumo alioutumia uliendana na wachezaji wenye miili midogo…

Read More

Mwanzo wa mwisho wa Zahera Yanga?

Mashabiki wa soka wa Tanzania ni wasahaulifu sana. Ukiwasikiliza mashabiki wa Yanga leo, unaweza usiamini kile wanachokidai. Msimu uliopita tu mashabiki hao walikuwa wakimhusudu Kocha wao, Mwinyi Zahera, ambaye licha ya kufundisha kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi Kuu nchini katika hali mbaya, alifanikiwa kuiwezesha timu hiyo kumaliza kwenye nafasi ya pili katika…

Read More