JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba Queens kunyukana na Yanga Princess kesho

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wababe wa Soka la Bongo kwa upande wa Wanawake Simba Queens na Yanga Princess kesho Jumatano (Machi 22) wataingia dimbani kupapatuana katika mchezo wa ligi kuu ya wanawake Tanzania. Katika mchezo huo Yanga Princess watakua…

Monastir: Hatutumii nguvu kuikabili Yanga leo

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Baada ya ushindi mnono wa mabao 7-0 walioupata Simba Sc dhidi ya Horoya ya Guinea katika mchezo wa mzunguko wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika,leo Yanga Sc wanakutana na US Monastir ya…

Simba yatinga robo fainali kwa kishindo, Chama aondoka na mpira

Timu ya Simba mefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, baada ya kufanikiwa kuichapa Horoya AC kwa mabao 7-0 katika mchezo wa Kundi C leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao…

Serikali yajipanga kuendeleza michezo sita ya kipaumbele

Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imejipanga vema kusimamia na kuendeleza michezo sita ya kipaumbele ya kimkakati ikiwemo mpira wa kikapu ili kuleta tija katika sekta ya michezo nchini. Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema hayo…

Mtibwa na vita ya kisasi kwa Simba

Na Tatu Saad, JAMHURI MEDIA Wana Manungu kutoka mkoani Morogoro, ‘Mtibwa Sugar’ wameeleza kuzitaka alama tatu muhimu kwa kulipa kisasi, katika uwanja wa nyumbani dhidi ya Simba Sc, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya Machi 11 mwaka huu katika uwanja wa Manungu…