JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

TRA, KCMC zapimana nguvu michuano ya SHIMUTA

………………………………………………………….. Timu za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),mabingwa watetezi kwa upande wa mpira wa miguu na Hospitali ya Rufaa KCMC ya Kilimanjaro zimetoshana nguvu baada ya kufungana bao 1-1, katika michuano ya Shimuta inayoendelea Jijini Tanga. Mchezo huo ambao umefanyika…

Kaze mkurugenzi mpya wa ufundi timu ya Vijana Yanga

Uongozi wa klabu ya Yanga umemteua Mrundi, Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17 na 20 pamoja na timu ya Wanawake, Yanga Princess.

Unahisi ni nini kitakua cha tofauti katika Kombe la Dunia Qatar 2022?

Macho na masikio sasa yapo nchini Qatar wengi wakingoja kwa hamu na gamu kushuhudia michuano ya kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza ifikapo Novemba 20, 2022 Kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia linafanyika Mashariki ya Kati, nchini Qatar 2022, Michuano…

Klabu ya Simba yamkana kocha aliyedakwa na dawa za kulevya

Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa Muharami Said Mohammed maarufu Shilton hakuwa muajiriwa wa klabu yetu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo Novemba 15,2022 imesema kuwa klabu hiyo ilimuomba na kukubaliana na Muharami kuwanoa makipa…

Vifahamu viwanja nane zitakapochezwa michuano ya kombe la Dunia

Zikiwa zimesalia siku chache michano ya kombe la Dunia ianze kutimua vumbi huko mashariki ya kati, unaweza ukawa unavuta picha michuano ya msimu huu itakuwaje! Hivi ndivyo viwanja nane ambavyo michuano hiyo itachezewa hapo nchini Qatar kuanzia Novemba 20, 2022…

Yanga yaichapa kagera Sugar 1-0

Klabu ya Yanga imeendeleza ubabe kwenye ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar 1-0 kwenye mchezo ambao uliopigwa kwenye dimba la CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga Sc imepata bao kupitia kwa nyota wao kinda kabisa Clement Mzize ambaye…