JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba Queens watinga nusu fainali CECAFA

TIMU ya Wanawake ya Simba Queens ambayo ni sehemu ya Wekundu wa Msimbazi ya jijini Dar es Salaam imetinga Nusu Fainali ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA). Ni kutokana na ushindi wa…

Dkt.Abbasi atoa maelekezo kwa BASATA

Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi ametoa maelekezo mahususi kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuelekea tamasha la kihistoria la kuhamasisha Sensa kupitia Sanaa na Michezo (Sensabika). Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Agosti 15,…

Rais Samia: Afrika inahitaji kuongeza juhudi kuendeleza mpira wa miguu

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Bara la Afrika linahitaji kuongeza juhudi zaidi kwa kuongeza jitihada mbalimbali zitakazoendeleza mpira wa miguu. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 10, 2022 alipomuwakilisha Mheshimiwa Rais Samia katika ufunguzi wa Mkutano…