Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker uliopo nchini Uturuki kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu jana.

Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki ufunguzi huo na mechi yao ya kwanza dhidi ya Hispania inachezwa leo saa saba kamili mchana.

By Jamhuri