Category: Michezo
Simba, Yanga hazishangazi
Ukiona Simba wanachukua wachezaji wengi kutoka Afrika Magharibi, Yanga nao watakwenda huko. Ukiona pia Yanga wanachukua kocha kutoka Ulaya Mashariki, Simba nao watakimbilia huko. Bahati mbaya zaidi Azam FC nao wameingia katika mkumbo wa kufuata siasa za Simba na Yanga. …
Rooney afunguka alivyoumizwa na kamari
Mwanasoka mahiri aliyewahi kukipiga kwa mafanikio Manchester United chini ya Kocha Alex Ferguson, Wayne Rooney, amekiri hadharani kuwa kamari ni moja ya mambo yaliyoathiri kiwango chake uwanjani kwa kiasi kikubwa. Rooney, ambaye wakati fulani alikuwa nahodha wa timu ya taifa…
Simba, Yanga funzo tosha
Nani anataka matokeo mabovu? Kuna uwekezaji mkubwa, huku wachezaji wakipewa kila kitu, halafu unakuja kutoa sare na timu ambayo unaamini ni mbovu? Swali kubwa. Nyumba inajengwa kwa siku moja? Matokeo ya mechi ya Ligi Kuu ya mwishoni mwa wiki kati…
Liverpool wapewe kombe EPL?
Historia ya Ligi Kuu Uingereza (EPL) inaonyesha kuwa kwa kawaida timu ambayo inakuwa imeshika nafasi ya juu inapofika katikati ya msimu, aghalabu huwa kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya, hiyo ndiyo huwa bingwa mwisho wa msimu. Unaposoma hapa, Liverpool, ambayo…
Tuanze kuuza wachezaji nje
Mwaka 2016 wakati tunakwenda kuivaa Nigeria, wachezaji wa Tanzania wanaocheza nje karibu wote waliitwa kuja kulikabili jeshi hilo linalotamba katika soka Afrika. Ila kilichotokea ilikuwa aibu. Wengine walikuwa hawajulikani, hata TFF hawawajui. Tukaanza kuulizana kama huyu kweli ni wa kwetu…
Eti hawavijui hata viwanja vyao!
NA CHARLES MATESO Wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Pombe Magufuli, alipotoa agizo kwa wasaidizi wake nchi nzima kuhusu kuorodhesha mali zote za chama hicho, nikakumbuka uwepo wa viwanja vingi vilivyochakaa. Kauli ya Magufuli kutaka kuorodhesha mali sahihi ni…