JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Ya TFF hadi kwa Zahera

Kim Poulsen aliondolewa kazini bila kuwapo sababu zenye kuingia akilini. Alikuwa na  mipango ya kuleta mabadiliko ya uchezaji wa Taifa Stars ndani ya kipindi cha miaka mitano. Waliomuondoa hawakulifahamu suala hilo, ingawa ni jambo muhimu lenye kutakiwa kupewa kipaumbele. Ufundishaji…

Mwanzo wa mwisho wa Zahera Yanga?

Mashabiki wa soka wa Tanzania ni wasahaulifu sana. Ukiwasikiliza mashabiki wa Yanga leo, unaweza usiamini kile wanachokidai. Msimu uliopita tu mashabiki hao walikuwa wakimhusudu Kocha wao, Mwinyi Zahera, ambaye licha ya kufundisha kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria wa Ligi…

Mkuranga African yaibuka kidedea ligi ya wilaya

Timu ya Mkuranga African maarufu kama Apollo imeibuka kidedea katika mashindano maalumu ya kutafuta timu itakayoshiriki Ligi Daraja la Nne ngazi ya wilaya. Apollo ilifanikiwa kupata nafasi hiyo baada ya kuinyuka Mwalu City 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa katika…

Yanga itazidi kudumaa

Unatazama taarifa za habari za michezo za Ulaya, unasoma juu ya uwekezaji mkubwa unaofanywa na matajiri wa Urusi na Uarabuni. Siku moja ya uhai wako inapita ukiwa na afya njema, kesho asubuhi unatazama tena runinga na kukutana na habari ya…

Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (3)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anasimulia jinsi alivyokutana na Ruge Mutahaba Tanzania House of Talents (THT) alipokwenda kufanyiwa majaribio ya kufuzu kuingia katika jumba la kukuza vipaji. Barnaba ni mmoja wa wasanii wachache wanaopenda kuongea huku wakicheka hasa pale…

Wachezaji Stars lazima mjiongeze

Kinachoendelea katika Jiji la New York au Moscow ndani ya dakika hii, kinaweza kujulikana duniani kote ndani ya saa moja. Teknolojia imerahisisha sana maisha na katika sehemu nyingine za ulimwengu huu, watu wengi wanajikuta wakikosa ajira kwa sababu kazi zao…