JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Hili la Kariakoo litufundishe  kuheshimu miundombinu

Kuungua kwa soko la kimataifa la Kariakoo ni pigo kwa uchumi wa Jiji la Dar es Salaam na taifa kwa ujumla, ingawa kwa hakika ni msiba mzito kwa mfanyabiashara mmoja mmoja aliyewekeza katika soko hilo. Kwa miaka mingi eneo zima…

Hongera DPP, lakini…

Amani ni tunda la haki. Bila haki amani haipo. Bila haki manung’uniko na vilio hutamalaki. Tunaipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kusimamia suala la haki, na kwa namna ya pekee tunaipongeza Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kwa kuonyesha…

Yanayofanyika Mtwara yasiishie huko

Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Rais wa Pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, alitoa kauli kali akikemea mtindo wa Tanzania kugeuzwa ‘kichwa cha mwendawazimu’ katika sekta ya michezo kimataifa. Kauli hiyo aliitoa akionyesha kuchukizwa na matukio ya kushindwa mfululizo kwa…

TRA huu ndio ukusanyaji kodi

Juni 5, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Geryson Msigwa, ametoa taarifa ya mwenendo wa kazi za serikali, utekelezaji wa ahadi zake na eneo muhimu la ukusanyaji mapato. Msigwa ameonyesha kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuongeza makusanyo hata baada…

Katika hili Mtaka asiachwe peke yake

Mwanzoni mwa mwaka huu Tanzania imejikuta ikikumbwa na uhaba wa mafuta ya kula licha ya ukweli kwamba nchi hii imebarikiwa kuwa na ardhi nzuri yenye rutuba na maliasili za kila aina. Ni ukweli wa kutia aibu kwamba kwa miaka mingi…

Sekta binafsi ipitie upya tozo

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na kauli kuwa Tanzania ni ghali sana katika Sekta ya Utalii kwa maana ya gharama anazotumia mtalii kuanzia safari ya anakotoka hadi gharama atakazotumia awapo nchini. Kwanza, ieleweke kuwa gharama hizi zitumiwazo na watalii zimegawanyika…