JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Turuhusu ushindani mwendokasi

Wiki iliyopita Serikali imezindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Mabasi ya Mwendo Kasi ( DART). Awamu hii sasa itakuwa ni ya upanuzi wa Barabara ya Kilwa kwenda Mbagala. Tanzania ni moja kati ya nchi tatu barani Afrika ambazo zina…

Wenye masikio wamemsikia Trump

Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani. Huyu ni Rais wa taifa lenye nguvu kubwa za kiuchumi na kijeshi kuliko taifa lolote katika sayari hii. Ushindi wa Trump haukutarajiwa na wengi. Maneno yake kabla na wakati wa kampeni…

Hongera polisi Dar kudhibiti mapanga

Wiki iliyopita, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Simon Sirro, amepiga marufuku uuzaji wa silaha za jadi hadharani.  Silaha za jadi zilizozuiwa kuuzwa hadharani ni pamoja na mapanga, pinde, mikuki, manati, majambia na visu….

Rais Magufuli usimwamini kupita kiasi Dk. Mpango

Leo ni wiki ya kwanza ya mwaka 2017. Wiki iliyopita, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, ametoa mwenendo wa hali ya uchumi nchini, akisema Taifa halina mdororo wa uchumi. Ametoa takwimu kuwa kwa sasa uchumi unakua kwa asilimia…

Tuweke vipaumbele 2017

Leo zimesalia siku nne kuhitimisha mwaka 2016. Kwa wazazi wengi wiki hii na ijayo si wiki za furaha sana. Wakati watoto wanafurahi kuongeza umri wa kuishi duniani, wazazi wengi wanajiuliza ada za shule inakuwaje. Mwezi Desemba, 2016 umekuwa tofauti na…

Tusibishanie zika

Wiki iliyopita, baadhi ya vyombo vya habari viliripoti taarifa ya utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), kuhusu kuwapo kwa ugonjwa wa zika hapa nchini.  Taarifa hiyo ya utafiti wa NIMR, ilitolewa na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu…