Category: Maoni ya Mhariri
Hatuna ugomvi na Kikwete
Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukichapisha habari zinazoruhusu Taifa letu. Hii ndiyo imekuwa kazi yetu kubwa kwa mwaka huu wa tano wa uhai wa Gazeti la JAMHURI. Wasomaji wetu wanatambua namna tulivyoandika habari ‘nzito’, zikiwamo za wale ‘wasioandikika’ kuanzia kwenye…
Serikali ibadili mbinu ukusanyaji kodi
Kwa muda wa mwezi mmoja tumechapisha habari zinazohusiana na ukusanyaji wa kodi. Tunatambua na tunapenda kupongeza juhudi zilizofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), iliyotekeleza kwa ufasaha maelekezo ya Rais John Pombe Magufuli ya…
Kodi vifaa vya gesi zifutwe, tuokoe misitu
Mungu alitupendelea Watanzania. Akatupatia ardhi na misitu mingi, mizuri na yenye tija kubwa kwa binadamu na viumbe hai wengine. Uzuri wa Tanzania sasa unaharibiwa na Watanzania wenyewe kwa uamuzi haramu wa kuteketeza misitu ya asili. Takwimu zinaonyesha kuwa hekta 400,000…
Mgogoro wa Z’bar umechusha
Mgogoro wa kisiasa katika Visiwa vya Zanzibar umekuwa na athari kubwa kwa Wazanzibari na Watanzania kwa jumla. Ingawa hatuungi mkono misaada ya masharti, lakini kitendo cha Marekani kuinyima Tanzania msaada kwa sababu ya mgogoro huo, kinapaswa kutuamsha. Tuamke kwa kuhakikisha…
Tanzania isinyamaze mauaji ya Burundi
Taifa jirani la Burundi lipo katika msukosuko mkubwa na wachambuzi wa masuala ya migogoro ya kisiasa wanasema kuna kila dalili kuwa taifa hili sasa litatumbukia katika mauaji ya kimbari. Burundi imeingia katika mgogoro baada ya Rais aliyeko madarakani Pierre Nkurunziza…
Wateule: uwaziri si ulaji, ni kazi tu
Ukurasa wa 12 wa gazeti hili tumechapisha majina ya mawaziri wapya pamoja na wizara watakazoongoza. Pia wamo naibu mawaziri katika wizara kadhaa. Mawazari na naibu mawaziri hao walitangazwa Alhamisi iliyopita. Siku hiyo walitangazwa jumla ya 30 huku wengine Rais Dk….