Category: Maoni ya Mhariri
Rais chukua hatua, nchi inamalizwa
Watu wengi wameshtushwa na habari kwamba Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) imetumia Sh bilioni tisa kwa ajili ya posho kwa kikao cha wafanyakazi wa Mamlaka hiyo.
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Tuwe makini kuelimisha wananchi Katiba Mpya
Tayari Bunge Maalumu la Katiba limepitisha rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Rasimu hiyo iko tayari kwa ajili ya kupelekwa kwa wananchi kupigiwa kura baada ya kupata akidi ya theluthi mbili iliyotakiwa kisheria kwa upande wa Tanzania Bara na Visiwani.
Wanaoiponda UDA wamekosa uzalendo
Tumetafakari kwa kina juu ya taarifa zinazolaumu “Serikali kubariki ufisadi wa UDA.” Lawama hizo hutolewa na Watanzania wachache sana wanaopinga Kampuni ya wazawa ya Simon Group kuuziwa hisa za UDA.
Hoja za msingi malalamiko hayo ni kwamba Simon Group haikufuata taratibu na sheria, na pia kwamba haikuzingatia thamani halisi ya shirika hilo. Tunachofahamu sisi kwa sasa ni kwamba uuzwaji huo uko sahihi na hakuna kinachoweza kubadilika, kwani taratibu na sheria zote zilizingatiwa kikamilifu wakati wa uuzaji wa hisa za UDA kwa Simon Group.
Ahsante TMF, Kazi ipo kwetu
Miongoni mwa habari zilizopamba gazeti hili leo ni taarifa ya Mfuko wa Vyombo vya Habari nchini (TMF), kutoa ruzuku ya Sh. bilioni 1.7 kwa vyombo vya habari 16.Awali ya yote tunaupongeza mfuko huo kwa namna inavyoratibu shughuli zake na…
UKAWA mwaweza kuchagua vita, amani
Kwa muda wa miaka mitatu nchi yetu imeshuhudia mnyukano wa mchakato wa kupata Katiba mpya. Mnyukano huu ulianza rasmi mwaka 2011 Rais Jakaya Kikwete alipotangaza kuandikwa kwa Katiba mpya. Tangazo la Rais Kikwete lilianzisha mchakato wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, ambayo hatimaye imelifikisha taifa katika kupata rasimu.
Habari mpya
- Rais Mwinyi ateua ma – RC na Naibu Makatibu Wakuu
- Wanafunzi 40 wateuliwa kuwa mabalozi wa utalii
- Mdemu awataka wanufaika wa mikopo wa WDF kurejesha kwa wakati
- Kwa heri John Sabi Nzuryo, Jamhuri Media itakukumbuka
- Kurasa za Gazeti la Jamhuri Desemba 16 -22, 2025
- Makamu wa Rais awasili Ruvuma kushiriki mazishi ya Jenista Mhagama
- Rais Mwinyi ahudhuria Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za binadamu Z’bar
- Wakazi wa ndani wa taasisi za umma wapata mafunzo ya ukaguzi wa ESG
- Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 16 – 22, 2025
- Mamia ya wanachama ACT Wazalendo wampokea Othman Masoud Pemba
- RITA kutoa cheti cha kuzaliwa ndani ya saa 48 tu
- RC Dodoma awahimiza wahitimu kujiajiri kupitia ujuzi waliopata
- Makamu wa Rais amuaga Jenista Mhagama
- Idadi ya waliokufa katika mafuriko Indonesia yafikia 1000
- Rais Samia: Marehemu Jenista Mhagama alikuwa mlezi wa viongozi wengi