Category: Siasa
Mzee Butiku ateta na Dk Nchimbi kwenye mkutano wa hadhara Rorya
Mgombea mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amekutana na kusaliamiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Joseph Butiku wakati wa mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu . Dk.Nchimbi ambaye…
Mgombea ACT Wazalendo Jimbo la Sumbawanga achukua fomu
Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Sumbawanga Mjini Frank J. Maten, amekabidhi fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa Edwin Matondwa Kachoma mgombea Ubunge kupitia tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo. Kachoma amesema kuwa anaimani atapata nafasi ya…
Zitto : Ni haki yetu kikatiba kushiriki Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema hakitasusia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 badala yake kitashiriki kikamilifu zoezi hilo kwasababu ni haki yao ya kikatiba . Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa chama hicho cha…
Wasira aeleza sababu zinazoifanya CCM idumu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu. Mojawapo ya sababu hizo ni wajibu wake wa majukumu endelevu ya kuwatumikia Watanzania. Amesema kutokana na umuhimu wa majukumu hayo kwa ustawi…
Mbeto: Haki ya wananchi kushiriki uchaguzi isiporwe na vyama vya siasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesifu kupevuka kwa maono ya kisiasa yalioonyeshwa na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ,aliyeitangazia dunia chama chake kitashiriki uchaguzi Mkuu oktoba mwaka huu bila longolongo. Pia CCM kimebaini kuwepo tofauti…