JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Uraia siyo uzalendo (2)

  Katika toleo lililopita niliishia kuchambua maneno ya mwanzo yaliyokuwamo kwenye Katiba Tanganyika ya 1961 mara baada ya Uhuru.   Maneno ya utangulizi kutoka kwa Mwalimu Nyerere yaliyosomeka hivi: namnukuu, “In particular I trust that the young will take particular…

Chombo kwenda mrama, kurejesha lawama

Neno CHOMBO katika lugha yetu ya Kiswahili lina maana au tafsiri nyingi katika matumizi. Katika tafsiri sahihi na sanifu CHOMBO lina maana sita kwa maelezo yaliyomo kwenye Kamusi ya Kiswahili Sanifu, toleo la pili la 2004. Kamusi hiyo kwa ufupi…

Yah:  Naomba urais tena, sababu ninazo, ninatosha

Ndugu wananchi, katika waraka wangu uliopita niliomba mnipe nafasi ya kuongoza Taifa hili kubwa Afrika Mashariki na taifa tajiri kwa rasilimali zake, likiwa na kundi kubwa la maskini. Nazungumzia maskini waliokata tamaa na kukosa muelekekeo wa maisha yao, wamekata tamaa…

Wakati Dar kumejaa, tusisahau vijijini

Nionavyo mimi, jiji la Dar es Salaam limejaa. Watu, magari, na changamoto za kila aina.  Takwimu za Sensa ya Taifa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ulikuwa na wakazi 3,133 kwa kilomita ya mraba wakati wastani…

Membe alivyopokewa na Ukoo wa Nyerere Burito

Wanaukoo wa Burito ambao ndiyo chimbuko la ukoo wa Chifu Nyerere Burito, hivi karibuni ulifanya Mkutano Mkuu wa Ukoo wa mwaka 2015. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi. Kulikuwa na wageni waalikwa wengi, akiwamo Waziri…

Uraia siyo uzalendo

Na FX Mbenna BRIG GEN (MST)   Kuna tofauti kubwa kati ya maneno haya mawili – uraia na uzalendo. Hapa nchini Tanzania upo mkanganyiko mkubwa wa utumiaji usio sahihi wa maneno mbalimbali.  Baadhi yetu tunaona neno uraia ni sawa tu…