Category: Siasa
Prince Charles, JK wateta ujangili
Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Uingereza, Prince Charles, ambaye pia ni mtoto wa Malkia wa nchi hiyo, Elizabeth, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua zake za dhati za kulinda wanyamapori na kupambana na ujangili dhidi ya tembo na faru, taarifa ya Ikulu imesema.
Maswi: Gesi imeanza kuwatajirisha Mtwara
“Kazi ya kuunganisha na kusambaza mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam imefikia hatua ya kuridhisha. Kazi hiyo inafanywa na mashirika yenye uzoefu mkubwa kimataifa, ambayo ni Shirika la Teknolojia na Mendeleo ya Petroli la China (CPTDC), Kampuni ya Kutengeneza Mabomba ya China (CCP), Worley Parsons Limited na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Tayari mpaka sasa kilomita 142 kati ya 542 zimekamilika. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Desemba mwakani na utakuwa na mitambo ya kisasa.”
Kinachonifanya nimpende Lowassa, hitimisho
Wakati naandaa makala niliyosema “Kinachonifanya nimpende Lowassa ni hiki” na kuichapisha katika gazeti hili la JAMHURI wiki iliyopita, hayakuwa mategemeo yangu kama makala hiyo ingeigusa jamii kwa kiasi nilichokishuhudia. Nimepigiwa simu nyingi mno, nimetumiwa ujumbe mfupi wa maandishi mwingi, na bado mpaka sasa naendelea kupokea simu na ujumbe!
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -4
Katika sehemu ya tatu ya makala haya wiki iliyopita, nilizungumza uchanga wa vyama vya siasa na malengo yao. Pia niligusia kauli iliyotolewa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, wakati wa Uchaguzi Mkuu 1995 kuhusu uwezo wa vyama vya upinzani kushinda katika uchaguzi mkuu wa 2015. Leo tunaendelea…
Hivi tunavyozungumza CCM na vyama vya upinzani kila kimoja kimo katika harakati ya kupanga mipango ya kushinda uchaguzi huo. CCM itafikisha miaka 38 na baadhi ya vyama vya upinzani vitafikisha miaka 23. Hapatakuwa tena na suala la uchanga wala watoto. Labda suala la utoto!
FIKRA YA HEKIMA
Kagame, Museveni, mkataa wengi ni mchawi
Ndoto za Rais wa Rwanda, Paul Kagame, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, kutaka kuzitenga nchi za Tanzania na Burundi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimeyeyuka.
Sasa ushindi uko mikononi mwa UTATU MWAMINIFU (Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya).
Kibanda alistahili Tuzo ya Mwangosi
Ni siku ya historia ya pekee hapa Tanzania, siku ambayo mwandishi wa habari Absalom Kibanda na mjane wa Daudi Mwangosi, Itika, wamemwaga machozi mbele ya umati wa waandishi wa habari ukumbini.
- Shirika la Posta Tanzania lashiriki kongamano la eLearning Afrika, laja na huduma ya Swifpack
- Matumizi ya nishati safi ya kupikia kufikia asilimia 75 mwaka 2030 – Dk Biteko
- Wajumbe, mabalozi 2,200 wanufaika na mafunzo ya utatuzi wa migogoro Songea
- Papa aongoza misa kwa mara ya kwanza
- Papa Leo XIV apokelewa kwa matumaini Congo
Habari mpya
- Shirika la Posta Tanzania lashiriki kongamano la eLearning Afrika, laja na huduma ya Swifpack
- Matumizi ya nishati safi ya kupikia kufikia asilimia 75 mwaka 2030 – Dk Biteko
- Wajumbe, mabalozi 2,200 wanufaika na mafunzo ya utatuzi wa migogoro Songea
- Papa aongoza misa kwa mara ya kwanza
- Papa Leo XIV apokelewa kwa matumaini Congo
- Trump anaitaka Urusi kusitisha vita kwa siku 30 na Ukraine
- Serikali yasikitishwa na azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Tundu Lissu
- Viongozi wa kisiasa na kidini duniani wampongeza Papa mpya Leo XIV
- Mapato yasiyo ya kodi yafikia asilimia 67, OMH yadhamiria kufikia lengo la mwaka
- STATEMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ON THE EUROPEAN PARLIAMENT RESOLUTION
- Vikundi 49 vya wanawake wajasiriamali Mbulu Mji kupata mikopo ya milioni 168
- Ujio wa Rais wa Msumbiji watoa ishara ya Umoja wa Afrika
- Viongozi wa Dini waaswa kuimarisha mafundisho kwa wanandoa kunusuru kuvunjika
- Kardinali Robert Prevost achaguliwa kuwa papa wa kwanza Mmarekani
- Papa mpya apatikana